The House of Favourite Newspapers

 Faiza Awapiga Bao Mastaa

MFANYABIASHARA maarufu kwa sasa kwa upande wa wasanii Bongo Muvi, Faiza Ally, ambaye pia ni ‘baby mama’ wa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amewafunga midomo mastaa wa Bongo Muvi kwa kuporomosha mjengo wa hatari. …

Corona Yamnyoosha Faiza

STAA wa Filamu ya Baby Mama, Faiza Ally ambaye ni mfanyabiashara anayefuata mizigo nje ya nchi, ameelezea namna janga la Virusi vya Corona lilivyomnyoosha. Faiza ameiambia Bongo Selebriti ya Gazeti la IJUMAA kuwa, kwa sasa…

Faiza atua Bongo, roho kwatu!

KUBALI yaishe! Mwanamama wa Bongo Movies, Faiza Ally ambaye ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ametua Bongo akitokea China na kusema sasa roho yake ni kwatu baada ya Sugu kuoa. Faiza ameliambia Gazeti la…

Harusi ya Sugu inavyomtesa Faiza!

SHUGHULI ya harusi yake aliyoitangaza Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ inamtesa kinoma mzazi mwenzake, Faiza Ally, kiasi cha kusitishe safari ya kurudi Bongo hadi shughuli hiyo ipite.  Akizungumza kwa WhatsApp na Gazeti la…

FAIZA AFURAHIA SUGU KUPATA MTOTO

TOFAUTI na matarajio ya wambeya wa Instagram, kwamba mzazi mwenziye Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally atakuwa na kinyongo na mwanamke wa sasa wa Sugu, mrembo huyo amewakata maini mashabiki wa mtandao huo kwa…

FAIZA AMEMRUDIA MUNGU MAZIMA

NDICHO kilichobaki tu! Mwigizaji wa filamu za Kibongo ambaye ni baby mama wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, Faiza Ally ameamua kuacha kila kitu na kufanya yale ya kumpendeza Mwenyezi Mungu. Faiza ameliambia…

FAIZA:  MAPENZI NI HOBI YANGU

MSANII wa filamu mwenye vituko lukuki Bongo, Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakipenda kama kufanya mapenzi. Akizungumza na Za Motomoto, Faiza alisema…

KUDANGA SIYO ISHU KWA FAIZA !

MWIGIZAJI wa filamu Bongo na mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ameeleza kuwa kudanga kwake siyo ishu kwani kama mtu anafanya hivyo kwa kufanya kitu cha maana siyo tatizo. Akipiga stori na…

MIZIGO YAMKONDESHA FAIZA

WIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amesema kuwa anakonda kutokana na mizigo ya watu kuchelewa kufika kwa wakati. Faiza aliliambia Ijumaa Wikienda…

Snura: Faiza Anatafuta Pa Kutokea

MWANAMUZIKI Snura Mushi ameibuka na kusema kuwa pamoja na msanii mwenzake Faiza Ally kumtukana mitandaoni kwa kutumia kazi yake ya muziki lakini atakuwa amepata funzo kwa yale aliyomwambia kwani hatarudia tena kile alichokifanya cha…