The House of Favourite Newspapers

Rosa Ree Aeleza Alivyomtosa FID Q

MWANAMUZIKI chipukizi anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Bongo Fleva, Rosa Ree ameeleza jinsi alivyomtosa Fid Q kwenye kolabo ya ngoma ya rapa huyo iitwayo Fresh.  Akibonga na Mikito Nusunusu Rosa Ree alisema alipigiwa simu na Fid Q…

Wolper aonyesha mahaba kwa Fid Q

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo ni kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi na nyimbo bora anazotoa. Akichonga na Uwazi Showbiz, Wolper…

FA Adai Fid Q ‘Mlaini’

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’ amedai mkali mwenziye mwenyeji wa Mwanza, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amebadilika na kuwa mlaini tofauti na zamani. Akipiga stori na Risasi Vibes, mwana FA alisema kwa…

Fid Q Afungukia Kupiga Chini Gemu

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| UWAZI SHOWBIZ MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si wa kuacha muziki leo wala kesho maana muziki ni sehemu ya…

Fid Q Kajivika Mabomu kwa Joh Makini

 JOHN JOSEPH| CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi kutamba, lakini katika dunia ya sasa kuna vigezo vya ziada vimekuwa vikitumika…

Joh Makini Amtamani Fid Q

Joh Makini Rapa anayekimbiza gemu la Muziki wa HipHop Bongo, Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’ amesema ipo siku atamshirikisha Fid Q katika ngoma yake maana ni msanii mzuri ambaye anatamani kufanya naye kazi. Fid Q Akistorisha na…

Fid Q ageukia udairekta

Farid Kubanda ‘Fid Q’, Omary Mdose, Dar ess Salaam MWANAMUZIKI wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’, ameibuka na kusema kutokana na kushiriki kwa kiasi kikubwa kuandaa video mbili za wasanii hapa Bongo, muda si mrefu watu…

Ben Pol ‘amsapraiz’ Fid Q

Benard Paul ‘Ben Pol’ Stori: Mwandishi Wetu Mwanamuziki wa RnB Bongo, Benard Paul ‘Ben Pol’ hivi karibuni alimfanyia ‘sapraizi’ Mwanamuziki wa Hip Hop, Farid Kubanda ‘Fid Q’ baada ya kumtumia audio ya ngoma yake mpya iitwayo Moyo Mashine…