Video: Hamorapa Afunguka Uhusiano Wake Na Paula Kajala | Bongo 255
Kupitia Kipindi cha Bongo255 cha +255 Global Radio na Global TV msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Hamorapa ameshindwa kuongea Kingereza fasaha.
Hamorapa alipewa Chemsha Bongo kuwa milioni 100 ni sawa Dola za Kimarekani (US Dollars) kiasi…