×


Facebook

HARMONIZE KUJITOA WASAFI GIZA NENE!

walisema hawajamuona Harmonize ofisini hapo kwa takriban mwezi mmoja nyuma. Walinzi hao walisema wanavyosikiasikia ni kwamba Harmonize ana ofisi yake mpya maeneo ya Sinza-Kijiweni jijini Dar, lakini wakasema hawana uhakika…

SOMA ZAIDI

Mambo 5 Yampa Harmonize Ubunge 2020

gani? “Tandahimba? Mbunge wa kule ni nani?… Aaa ningetamani kweli Harmonize akagombee kule akawe mbunge wa Tandahimba,” alisema Rais Magufuli.   Hata hivyo, katika siku za karibuni Harmonize amekuwa akipewa…

SOMA ZAIDI


HARMONIZE AWEKA REKODI KWA WAZAZI

STAA grade one wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ameweka rekodi kwa kuwanunulia wazazi wake magari mapya na kuwafunika mastaa wote Bongo hivyo kuibua gumzo kama lote.   Harmonize alifanya…

SOMA ZAIDI


HARMONIZE AWEKA REKODI AFRIKA

D AR ES SALAAM: Mambo yamemyookea! Ndiyo lugha rahisi unayoweza kutumia kuwasilisha mafanikio ya haraka anayoendelea kuyapata, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’.   KISHINDO CHA KWANGARU REMIX…

SOMA ZAIDI


Harmonize Anapata Wapi Jeuri Kujitoa Wasafi

kati ya makosa Harmonize amefanya ni kuondoka WCB Wasafi. Ukweli ni kwamba Harmonize ni mmoja kati ya watanzania wachache walioamua kuwekeza muda wao mwingi kufanya kazi nzuri zinazomfanya avuke viwango…

SOMA ZAIDI

MENEJA WA HARMONIZE APASUA JIPU

na madai ambayo bado yanaendelea kusambaa kama moto wa kifuu juu ya Harmonize kujitoa WCB, hii imekaaje meneja? Meneja: Hakuna kitu kama hicho. Harmonize bado ni msanii kutoka Wasafi. Risasi…

SOMA ZAIDI

Meneja Afunguka Tuzo ya Mtvema kwa Harmonize

zimepita tangu msanii aliyekuwa katika lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Rajab Abdul ’Harmonize’ aondoke na kwenda kuanzisha lebo yake ya Konde Gang, msanii huyo amechaguliwa kuwania katika tuzo kubwa…

SOMA ZAIDI

UTAJIRI WA HARMONIZE TISHIO!

…Abdul Kahali ‘Harmonize’ ambaye jitihada zake zinaelezwa kumpa mafanikio makubwa na kuwa tishio, Ijumaa lina stori kamili.   Harmonize au Harmo ambaye ana takriban miaka mitano kwenye tasnia ya muziki…

SOMA ZAIDI

WCB Yathibitisha Rasmi Kuachana na Harmonize

lililofanyika mjini Mwanza, Harmonize alitumia usafiri binafsi na kufanya baadhi ya mambo yaliyotoa tafsiri kuwa ameshajitenga na WCB. Harmonize moyo wake haupo WCB ila kimakaratasi Harmonize bado yupo WCB, na…

SOMA ZAIDI
TISHIO LA AL -SHABAAB, HARMONIZE ULINZI MKALI SUDAN

mzuka wa kutaka kusogelea jukwaa, jambo ambalo lilimfanya Harmonize kuwakemea polisi mara kwa mara. “Msiwabugudhi mashabiki wangu tafadhali, waacheni wajiachie,” alisikika Harmonize kwa lugha ya Kimombo a.k.a yai. AWASHUKURU WASUDANI…

SOMA ZAIDI


Harmonize Kununua TV ya Msama!

TV. “Hivi mnajua kuwa Harmonize naye anajipanga kuichukua Dira TV ya Msama? “Harmonize na Msama wapo kwenye mazungumzo ya awali na hivi karibuni mtaona.   (Jamaa (Harmo) amepania ile mbaya…

SOMA ZAIDI

Sallam SK: Harmonize Moyo Wake Hayupo Tena WCB

Harmonize anayefahamika kwa jina Mchopa ambaye alisema: “Siwezi kulizungumzia hilo suala kwa sasa, siyo mimi wala mtu yeyote ambaye anaweza kusema lolote kuhusiana na ishu ya Harmonize kwa kipindi hiki.”…

SOMA ZAIDI


Rayvanny: Nitamfunika Harmonize Dar Live

…kipekee na kuifunika shoo ya Harmonize.   Harmonize alipiga shoo kali mwaka jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, ambapo sasa ni zamu ya Rayvanny ambaye amepanga kuweka historia ya kipekee…

SOMA ZAIDI


Tuzo za MTV EMA: Mpigie Kura Harmonize Hapa

kura Harmonize bonyeza hapa => BEST AFRICAN ACT Kumbuka, unaweza kumpigia kura Harmonize mara nyingi zaidi kwani kupiga kura ni kila baada ya sekunde 5. HARMONIZE – MAGUFULI (KWANGARU REMIX)…

SOMA ZAIDI


Harmonize Apata Shavu Tanzanite

Balozi wa Tanzanite nchini, Nangasu Warema alisema kwamba Harmonize atakuwa akiyatangaza madini hayo ndani na nje ya nchi kupitia muziki wake.   “Tumeshaongea na Harmonize na ameahidi kuanza kuyatangaza madini…

SOMA ZAIDI

Sabby Angel Amshauri Harmonize

WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya kutaka kutoka WCB, mkali wa Muziki na Filamu Bongo, amemfungukia…

SOMA ZAIDI

ISHARA 5 HARMONIZE KUJITOA WCB

  Kama inavyokuwa kwa mzazi na mtoto anapofikisha umri wa kujitegemea, ndivyo inavyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’ baada ya ishara tano kujitokeza zinazoashiria dalili zote…

SOMA ZAIDI

JUMA NATURE KUIBUKA NA NANDY, HARMONIZE

…Star Showbiz, Nature alisema kuwa, watu wengi wanasema ametulia, hana jipya, lakini amewatoa hofu kuwa ana midundo mikali aliyofanya na amewashirikisha wasanii kama Nandy na Harmonize. “Ndiyo, watu hawajui nina…

SOMA ZAIDI

Rayvanny Atengenezwa Kumrithi Harmonize!

TANGU kuondoka kwa mwanamuziki Rajab Abdul ‘Harmonize’ kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) kuna harakati za ndani zinazofanywa kumpaisha memba mwingine wa kundi hilo, Raymond Mwakyusa ‘R ayvanny’. Habari…

SOMA ZAIDI

Harmonize Awazimia Data Mazima!

WAKATI mashabiki wakiendelea kujiuliza nini itakuwa hatima ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ na lebo iliyomlea kimuziki ya Wasafi Classic Baby (WCB), jamaa huyo ameamua kuzima data mazima…

SOMA ZAIDI