×
atrium


Facebook GIGY AFICHUA SIRI YA JINA LAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, amesema kuwa jina ambalo analolitumia hivi sasa la Gift ni kwamba alijipachika ili tu aendane na wakati…

SOMA ZAIDI

Wema amtoa chozi Diana

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye kwa sasa amejichimbia nchini Marekani, Diana Kimari amejikuta akimwaga chozi baada ya kumkumbuka shoga’ke kipenzi, Wema Isaac Sepetu. Diana ameiambia…

SOMA ZAIDI

Uwoya na skendo kuiba waume za watu

MWANAMAMA mkali kunako Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krish’ amefunguka kuwa, hakuna jambo la kishamba kwa sasa kama mwanamke kuiba mwanaume wa mwenzake. Amesema…

SOMA ZAIDIUchumba wa Lulu Waweka Rekodi

STORI: IMELDA MTEMA, DAR UCHUMBA wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Siza ‘Majizo’, umeweka rekodi…

SOMA ZAIDI
Sabby Angel: Mapenzi Yameniponza

MUIGIZAJImahili wa Bongo Muvi, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa mapenzi ya ulaghai yamempotezea dira ya maisha yake.   Akizungumza na Amani alisema, katika maisha…

SOMA ZAIDIJux, Lulu Diva Mambo Hadharani!

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo wanavyosema wananzengo kufuatia tetesi za kuchipuka kwa penzi jipya na matata mjini likiwahusisha mastaa wawili wa Bongo Fleva, Juma Mussa…

SOMA ZAIDI

Harmo Ashikilia Roho ya Sarah

WAKATI wengine roho zao zikishikiliwa na Mwenyezi Mungu, kwa upande wake mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmo’, Sarah Michelotti yeye ya kwake…

SOMA ZAIDI

BATULI: MUNGU MKUBWA

    AMA kweli Mungu mkubwa na hakuna kama yeye! Mwanamama sexy kunako Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kwa sasa yuko fiti tofauti na…

SOMA ZAIDI


Zuchu wa Mondi Hakamatiki

DAR: Hakamatiki! Kichwa kipya kwenye Bongo Fleva kutoka ndani ya Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ anazidi kufanya vizuri tangu atambulishwe rasmi…

SOMA ZAIDI

Wema, Mobeto Wapewa Makavu

MASELEBRITI wawili Bongo, Isaac Sepetu na Hamisa Mobeto wapepewa makavu na mshabiki wao baada ya kuoneshana ushosti wa kukomentiana kwenye Instagram.   Mobeto ndiye aliyekwenda…

SOMA ZAIDI

Sanchi, Kiba Mambo ni Moto!

WAKATI wa Mungu kukujaalia mema ukifika, hakuna awezaye kuzuia! Ndivyo wanavyoamini baadhi ya wafuasi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Janey Rimoy ambaye baada ya kubadili dini…

SOMA ZAIDI

Pierre Alivyonusurika Kifo Cha Corona

DAR: MCHEKESHAJI kwenye mitandao ya kijamii Bongo, John Mollel ‘Pierre Liquid’ amesimulia jinsi alivyonusurika kifo baada ya kushambuliwa na Ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na…

SOMA ZAIDI

Tanasha Atibua Saumu za Watu

DAR: Baada ya kubadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Tanasha Donna ambaye kwa sasa…

SOMA ZAIDI

Shehe Amuonya Sanchi Kubadili Dini

BAADA ya mwanamitindo mwenye umbo matata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ kubadili dini na kuwa Muislam ambapo kwa sasa anajulikana kwa jina la Surraiya, Sheikh Ahmed…

SOMA ZAIDI

Rose Ndauka Aipa Kisogo Sanaa!

MSANII aliyejipatia umaarufu kupitia tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amesema kuwa kwa hivi sasa ameipa kisogo sanaa, kwani anafanya biashara ya…

SOMA ZAIDI

Tatuu ya Lulu Diva Hatari Tupu

MCHORO wa mwilini (tatuu) ya sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ni hatari tupu na imekuwa gumzo kinoma kwenye mitandao ya kijamii…

SOMA ZAIDINandy Ampigia Saluti Zuchu

  MCHUMBA wa mtu anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amempigia na kumpa heshima msanii mwenzake wa kike, Zuhura…

SOMA ZAIDI


Kim Nana Atamba Kuwaziba Watu Midomo

MUUZA nyago kunako video za Bongo Fleva, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye alikwaa skendo ya kutoka kimapenzi na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Mondi’ ametamba kuwaziba watu…

SOMA ZAIDI


Ukweli Mbosso Kupewa Gari la Tanasha

MAMBO ni mengi sana mjini. Unaambiwa wananzengo wamepiga kelele sana huko Instagram kwamba gari analotamba nalo staa wa Bongo Fleva, Yusuph Mbwana ‘Mbosso’ si mali…

SOMA ZAIDI

Faiza Aanika Alivyoikwepa Corona China

STAA wa filamu ya Baby Mama Bongo, mjasiriamali Faiza Ally amefunguka alivyofanikiwa kurejea nchini akitokea nchini China na kuhofiwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona…

SOMA ZAIDI


Ukweli Pete ya uchumba ya Nandy

BAADA ya utata kuibuka kutokana na mwanamuziki William Lyimo ‘Billnass’ kumvisha pete ya uchumba, mpenzi wake ambaye pia ni mwanamuziki mwenzake, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’,…

SOMA ZAIDIOdemba Akimbia Ufaransa

Mwanamitindo wa kimataifa ambaye alijipatia jina kubwa ndani na nje ya Bongo kitambo hicho, Miriam Odemba amefanikiwa kukimbia nchini Ufaransa na kukimbilia nchini Switzerland barani…

SOMA ZAIDI


Bifu la Uwoya na Tessy, Ukweli ni Huu!

BAADA ya mastaa wawili, Irene Uwoya na Tessy Abdul ‘Tessychocolate’ ambao ni mashosti kudaiwa kuwa kwenye bifu kali kisa kuibiana mwanaume, wenyewe wameibuka na kuweka…

SOMA ZAIDI

Wema, Mondi Gumzo Jipya Mjini

STAA wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ndiyo gumzo jipya mjini. Gumzo hilo limekuja…

SOMA ZAIDI

GLOBAL TV Online