The House of Favourite Newspapers

JIKE SHUPA AVUNJA KIAPO

Juma Kassim ‘Nature’LICHA ya kuapa kwamba hatazaa mtoto mwingine zaidi ya yule aliyezaa na mwanamuziki, Juma Kassim ‘Nature’, muuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ amevunja kiapo hicho…

Jike Shupa: Serengeti Boys Wanajua

MUUZA sura kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ametoa sababu za kutoka kimapenzi na wanaume anaowazidi umri ‘serengeti boy’ akidai ni kwa vile wana uwezo katika mapenzi. Akichonga na Za…

Jike Shupa Akataliwa Ukweni

NA GLADNESS MALLYA | RISASI MCHANGANYIKO WAKATI akiwa na matumaini kuwa huenda naye akampata wake wa kutengeneza familia yake, muuza sura kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ amekataliwa na wazazi wa…

Jike Shupa Ajutia Mitungi

STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM MREMBO ambaye chimbuko lake ni Video Queen Bongo, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ amesema anaichukia sana pombe kwani inamfanya vibaya, kila anapokunywa, anafanya vitendo…

Wema, Jike Shupa Kimenuka!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Ule ushosti wa staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na muuza sura kwenye video za wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ unadaiwa kuvunjika na sasa…

Eti! Jike Shupa Haogopi Ngoma

Na GLADNESS MALLYA| RISASI MCHANGANYIKO| ZA MOTOMOTO HAMNAZO! Msanii muuza sura katika video za Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai haogopi Ukimwi kwa kuwa ni ugonjwa wa kawaida, ndiyo maana…

Jike Shupa Atetea Ushosti na Wema

Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ WAKATI baadhi ya watu wakiusengenya urafiki wa ghafla ulioibuka baina ya Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ na Wema Sepetu, muuza sura huyo kwenye video ameibuka na kuutetea ushosti huo, akiwataka watu kuwaacha, kwani…

Jike Shupa afanya pati ya aibu

Stori: GLADNESS MALLYA NA GABRIEL NG’OSHA, WIKIENDA Dar es Salaam: Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah al­maarufu Jike Shupa, amefanya pati ya aibu na kuzua minong’ono kwa baadhi ya wahudhuriaji. Pati hiyo…

Shoga, Ona Aibu kuwa jike shupa

Kama kawa kama dawa, najua sasa hivi kila mtu yupo bize kwa vile kila kitu ni mwendokasi na mimi nawasalimia kwa salamu za mwendokasi, mu hali gani mabibi na mabwana. Kama ilivyo ada najua mmekaa mkao wa kula kutaka kujua Naa miye…

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi hasidi wa moyo wangu… Haya mapenzi basi nimeyavulia shati… Kupendwa ni…

Jiji Concert Kutikisa Dar Live

UNAAMBIWA historia itaandikwa na jiji litasimama kwa saa 24, pale ambapo jukwa la kimataifa la kupanda na kushuka lilipo Kiwanja cha Taifa cha Burudani, Dar Live jijini Dar litakapobeba kijiji cha wasanii kupitia Tamasha la Jiji Concert…

Muna Achefua Kanisa Mitandaoni

MUIGIZAJI ambaye anajinasibu kuwa ni Mlokole; Muna Alphonce, amedaiwa kulichefua kanisa kwa mambo anayoyafanya mitandaoni.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amekuwa akitupia vipande vya video vinavyomuonesha ‘akikata mauno kama hana…

NUH Afungukia Kubebwa na Shilole

MWANAMUZIKI Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye aliwahi kufanya vizuri sana kupitia wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha mkali Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ameeleza sababu ya kupotea kwenye muziki kwa takriban miaka miwili. …