The House of Favourite Newspapers

JUSTIN BIEBER ACHUKIZWA NA EMINEM

Mwanamuziki wa marekani Justin Bieber amechukizwa na tabia ya rapa Eminem kuwa-diss rappers wapaya, Justin aliamua kumwambia ukweli kuwa anapenda flow zake lakini anachukizwa na tabia yake kupitia page yake ya instagram insta story aliweka…

Justin Bieber Yamkuta China

Nyota wa muziki wa Pop duniani kutoka nchini Canada, Justin Bieber amepigwa marufuku kutumbuiza nchini China, kwa mujibu, katazo lililotolewa na Wizara ya Utamaduni nchini humo. Taarifa ya wizara hiyo imeeleza kuwa haifai kwa…

Justin Bieber amrudia Mungu

Justin Bieber BOSTON, Marekani KWA sasa mwanamuziki, Justin Bieber yupo kwenye zoezi maalum la kuhakikisha anarejesha utu wake na kupata baraka za Mungu na kuamua kujitenga akifanya mambo yanayotafsiriwa kuwa labda ana matatizo ya akili.…

Justin bieber hapigi picha tena!

Justin Bieber Mkali wa miondoko ya Muziki wa Pop duniani, Justin Bieber amefunguka kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram kuwa hata piga picha tena na mashabiki wake hata atakapokuwa anakutana nao kwenye ‘public.’ Bieber alifunguka…

Justin Bieber aumbuka jukwaani

Mkali wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber. Los Angeles, Marekani. MKALI wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber usiku wa kuamkia leo aliumbuka jukwaani baada ya kutimba na ‘Skate Board’ kisha kuteleza na kumuumiza goti.…

Beckham amuandaa Cruz kuwa Bieber

David Beckham na mwanaye Cruz Beckham MWANASOKA wa zamani wa Man United ya England na Madrid ya Hispania, David Beckham na mkewe Victoria inasemekana wanamuandaa kijana wao mdogo Cruz mwenye umri wa miaka 11 kuwa Justine Bieber mpya kwenye…

Lulu bado hajiwezi kwa Bieber

STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael amesema kuwa bado anateswa na penzi la staa wa muziki wa Pop, Justin Bieber na kwamba yupo tayari hata kuchukuliwa bure. Chanzo makini kiliitonya Amani kuwa, staa huyo uvumilivu umemshinda kila…

21 Savage Kuachia Albamu Mpya

RAPA maarufu duniani, 21 Savage ametangaza ujio wa album mpya ikiwa ni mwaka mmoja na nusu tangu atoe albam yake. Kupitia akaunti yake ya Twitter yake, 21 Savage ameandika “No album in a year and a half tho…it’s time,”. …

Ijue Orodha Washindi MTV VMA’s 2019

Ifuatayo ndiyo orodha ya washindi wa MTV VMA's 2019: VIDEO OF THE YEAR 21 Savage ft. J. Cole – “a lot” – Epic Records Billie Eilish – “Bad Guy” – Darkroom/Interscope Records Ariana Grande – “thank u, next” – Republic Records Jonas…