Hukumu ya Aveva, Kaburu Yapigwa Kalenda Tena
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo hadi Oktoba 28, 2021.
Hukumu hiyo imeshindwa kutolewa katika kesi inayomkabili Rais…