Harmonize Amsifia Christina Shusho Baada ya Kuachana na Kajala Masanja
MSANII Rajabu Kahala ‘Harmonize au Harmo’ baada ya kuachana na Kajala Masanja, wiki iliyopita alionyesha jinsi anavyompenda Christina Shusho ambaye ni msanii wa nyimbo za injili.
Harmo amemtaja Shusho kuwa ni msanii bora, mwenye…
