The House of Favourite Newspapers

Samatta Kupewa Mtaa Kibiti

BABA Mzazi wa Mshambuliaji wa KR Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta ametuma maombi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kumpatia mtaa mtoto wake huyo kutokana na historia aliyoiweka katika soka la Tanzania kwa…

Polisi Yaua Wawili Kibiti

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika Kanda Maalumu ya Kipolisi Rufiji ambapo mmoja kati ya watu hao ametambulika kwa jina la Abdallah…