Uwoya, Kibonge Sexy na Vita Ya Mapenzi
STORI: NA WAANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | HABARI
STAA wa filamu Bongo, Irene Uwoya na Mwanamitindo Bhoke Wambura ‘Kibonge Sexy’ wameingia katika vita ya penzi baada ya Uwoya kudaiwa kuwa anamtumia ujumbe mbaya mpenzi wa Kibonge…
