×


Facebook

KESI YA MADAWA YA SHAMIM, MUMEWE ILIPOFIKIA KISUTU

KESI inayomkabiliwa blogger, Shamim Mwasha na mumewe, Abdul Nsembo, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na upelelezi kutokamilika. Shamim anatuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin Hydrochloride….

SOMA ZAIDI


Malinzi Aomba Kunywa Soda Akijitetea Kisutu

Jamal Malinzi. ALIYEWAHI kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, jana Jumanne, aliendelea kujitetea kwa takribani saa tano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es…

SOMA ZAIDI

Kalugendo na Mwenzake Wapandishwa Kisutu

  MAPEMA leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uthaminishaji Almasi na Vito Tanzania (Tansort), Archard Alphonce…

SOMA ZAIDI


Shahidi Aanika Mazito Kesi ya Kina Aveva

…Mchunguzi kutoka Takukuru, aliendelea kutoa ushahidi wake jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya waliokuwa viongozi wa Simba rais, Evans Aveva makamu wake Godfrey Nyange (Kaburu) na…

SOMA ZAIDIAhukumiwa Jela Miaka 99 Kwa Makosa 17

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miaka 99 jela Salma Mntambo baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka 17 likiwemo la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.  …

SOMA ZAIDI

Bocco, Manula Wachunia mikataba Simba

…hilo la akina Bocco na kiukweli bado hawajasaini mikataba mipya, kilichokwamisha ni mchezo wetu wa mwisho dhidi ya ligi na Mtibwa Sugar.” Mbowe, Ester Matiko Walivyowasili Kisutu Kusikiliza Kesi Inayowakabili…

SOMA ZAIDIWambura augua, akwama kufi ka mahakamani

…baada ya mtuhumiwa huyo kushindwa kutokea mahakamani kutokana na kuugua.   Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, Kelvin Mhina, jana alipokea taarifa kutoka magereza mbele ya…

SOMA ZAIDI

Wema Sasa Kupata Mtoto

…  TIBA YA TUMBO ILIANZIA INDIA Mwaka jana Wema alisafiri kwenda nchini India, ambapo Mei 29, mama yake mzazi aitwaye Miriam Sepetu aliiambia Mahakama ya Kisutu jijini Dar iliyokuwa ikisikiliza…

SOMA ZAIDI

Shahidi aomba maji mahakamani kesi ya Aveva

SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani wa Simba, Zacharia Hans Pope na ndiye aliyemueleza kuwa Simba…

SOMA ZAIDIMatokeo Ya Kidato Cha Sita 2019, Yapo Hapa

…BOYS’ S0190 ST. JOSEPH-KILOCHA SEMINARY S0198 AILANGA LUTHERAN JUNIOR SEMINARY S0201 ASHIRA S0202 BWIRU GIRLS’ S0203 IRINGA GIRLS’ S0204 JANGWANI S0205 KIBOSHO GIRLS’ S0206 KILAKALA S0207 KIRAENI GIRLS’ S0208 KISUTU

SOMA ZAIDI


MBUNGE: NIMEPAKWA KINYESI GEREZANI

…Freeman Mbowe walikaa siku 104 gerezani tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi mwanzoni mwa mwaka huu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwafutia dhamana katika kesi inayowakabili…

SOMA ZAIDI

Ombi la Mbowe, Wenzake Lakataliwa Kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo mwenyekiti wake Freeman Mbowe juu ya kuanza kwa mashahidi wao…

SOMA ZAIDI