Rais Dkt. Samia Ashiriki Hafla Ya Utoaji Tuzo Za Wasanii Wa Komedi, Washindi Wapo Hapa (Picha…
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Jumamosi Februari 22, 2025 amesema Serikali itaendelea kuwashika mkono wasanii wa ucheshi ili wafike ngazi za kimataifa na kunufaika na vipaji vyao.
Rais Samia ameyasema…
