The House of Favourite Newspapers

Lulu Diva Anataka Ndoa, Mtoto

BAADA ya kumpoteza mama yake mzazi miezi michache iliyopita, mrembo kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Lulu Diva amefunguka kuwa, anaomba Mungu ampe mume au mtoto kwa sasa kwa sababu anaona muda wa kufanya hivyo umefika. Diva…

Lulu Diva: Nawashukuru Sana

MUIGIZAJI na msanii wa Tanzania, Lulu Diva amewashukuru wote waliomshika mkono kipindi mama’ke mzazi alipofariki dunia. Lulu Diva ametoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wake na Serikali kwa mchango waliotoa wakati…

Maskini Mama Wa Lulu Diva

Jina la Lulu Abbas Silangwa au Lulu Diva linapotajwa, wengi watamtambua, hasa vijana wanaohusudu muziki wa Bongo Fleva na sinema za Kibongo. Lulu Diva amejipatia umaarufu kutokana na ndoto yake ya kuwa mwanamuziki bora na muigizaji…

Lulu Diva Akiri Kuporwa Gari

Sexy lady wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amekiri kuporwa lile gari la bei mbaya aina ya Jeep. IJUMAA WIKIENDA linafahamu kwamba, Lulu Diva alipewa gari hilo la kifahari na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Joh ambaye alikuwa…

Lulu Diva Asimulia Alivyonusa Kifo!

Sexy lady kunako Bongo Flevani, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amesimulia alivyonusa kifo laivu.Katika mahojiano maalum, Lulu Diva ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hadi sasa amekuwa akilikumbuka tukio la wiki iliyopita alipokutana uso kwa uso…