TAASISI YA FRIEDKIN CONSERVATION FUND YATOA MILIONI 110 KUSAIDIA ELIMU SIMIYU
TAASISI ya uhifadhi na Utalii ya Friedkin Conservation Fund, imetoa msaada ya shilingi milioni 110 ili kusaidia ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Vipaji maalum mkoani Simiyu. Msaada huo, ulikabidhiwa jana kwa…