Manji Amwaga Mabilioni Yanga
MWENYEKITI wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji ni kati ya majina manne yanayotajwa kuwa tayari kuwekeza mabilioni ya shilingi katika klabu hiyo kubwa Afrika.
Yanga hivi sasa ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa…