Belle 9: Siwezi Kumsahau Masogange
“Upo mbali na Masogange…
Njoo uutulize mtima wange…
Upo mbali na Masogange eh…
Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona…
Miaka mingi imekatika maa, ila mi sijakuona…
Kile kidonda changu cha mapenzi, moyoni bado…