Waziri Mkuu Ammjulia hali Mama mzazi wa Halima Mdee jijini Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemjulia hali Theresia Ngowi ambaye ni mama mzazi wa mbunge wa viti maalum Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma Januari 30, 2024.