The House of Favourite Newspapers

Miss Tanzania Akwaa Skendo UDM

MISS Tanzania namba mbili 2016/17 ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar (UDSM), Mary Peter amekwaa skendo ya kimapenzi baada ya kudaiwa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi mwenzake ambaye pia ni Mr Tanzania 2017,…