Mo Music wa Basi Nenda, Amekwenda Kwelikweli
MARA nyingi imetokea kwa wanamuziki wa kada mbalimbali duniani kuwika na ngoma moja tu matata mno ya kiwango cha Dunia kisha kupotea. Hili limeonekana ni tatizo kubwa. Uchunguzi wa IJUMAA SHOWBIZ umebaini si kwamba huwa hawatoi mikwaju…