The House of Favourite Newspapers

Mwakyembe Azindua Msimu Mpya BSS

WAZIRI  wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe,  usiku wa kuamkia leo amezindua msimu mpya wa shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) linaloendeshwa na Kampuni ya Benchmark Production. Uzinduzi…

Ray Alia na Waziri Mwakyembe

  STAA wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amelia na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini, Dk Harrison Mwakyembe katika kusimamia Sera ya Filamu. Akizungumza na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, Ray amemlilia…

Mwakyembe: Nina Digrii 5 – Video

Waziri mwakyembe amefunguka kuhusu sintofahamu iliyopo kuhusiana na kauli yake kwa wasanii kusoma ambapo amewagusa waandishi wa habari na wasanii ,waziri mwakyembe pia ameongeza kuwa vijana ambao hawajasoma wanatakiwa kujijengea utamaduni…

Mwakyembe Amkingia Kifua Roma

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kuachia wimbo unaokosoa Serikali wa Naitwa Roma, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, amemkingia kifua mwanamuziki huyo.  Awali,…