Paul Kagame: Sifahamu kama wanajeshi Wetu wako Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Kongo yanaendelea.
Kagame…
