Kamanda Sirro: Wema Sepetu, Nyandu Tozzy na TID Bado Wako Ndani
Wema Sepetu na askari Kanzu.
DAR ES SALAAM: Wakati macho na masikio ya Watanzania wakisubiri kusikia hatma ya wasanii wanaodaiwa kujihusisha na dawa za kulevya, wasanii wanne waliofika Kituo Kikuu cha Polisi bado wanashikiliwa…
