The House of Favourite Newspapers

OFM YAFUMUA SOKO LA GONGO DAR!

WAKATI Rais Dk. John Magufuli akisisitiza juu ya Watanzania kufanya kazi kwa bidii, bado kuna baadhi ya watu wanaonekana kuweka ‘pamba’ masikioni, wanakunywa gongo muda wa kazi, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global…

OFM YAMNASA DARASA

Shariff Thabeet ‘DarassaDAR ES SALAAM: Baada ya Kikosi Fichua Maovu (OFM) kutumia muda mrefu kumsaka, hatimaye msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Wimbo wa Muziki, Shariff Thabeet ‘Darassa’ amenaswa mjengoni kwake jijini Dar.…

OFM Wamfungia Kazi Lulu kwa Saa 9

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya mrembo  Elizabeth Michael 'Lulu' kuachiwa gerezani na kutumikia kifungo cha nje, kikosi cha Operesheni Fichua Maovu cha Global Publisher (OFM) kimemfungia kazi mrembo huyo kwa lengo la kutaka kuona…

‘Maiti’ ya Ofm yagomewa mochwari!

Makamanda wa OFM wakiingiza mwili kwenye gari. Na Waandishi Wetu, AMANI AR ES SALAAM: Bahati yao! ‘Maiti’ ya mmoja wa wana kikosi cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, hivi karibuni iligomewa kupokelewa na wahudumu wa…

Ofm Yamnasa Pam D kwa Dk. Mwaka

Msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ akitoka langoni kwa Tabibu JJ Mwaka. Na mayasa Mariwata, Dar es Salaam: Laivu! Kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, kimemnasa msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam…

OFM yanusa jipu kivuko …

DAR ES SALAAM: Kikosi Maalum cha Global Publishers cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ limenusa jipu katika Kivuko cha Kigamboni, Dar, jinsi baadhi ya abiria wa vivuko wanavyozamia kwenye ‘pantoni’ bila kulipa nauli, jambo linalotajwa…

Kamanda OFM avamiwa na vibaka

Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele. Mwandishi wetu, Moro Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele…

OFM yatumbua jipu la Tanesco Moro

Dustan Shekidele, Moro Watanyooka! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers imeungana na Rais John Pombe Magufuli katika kutumbua majipu ya uovu kwenye jamii ambapo imewaingiza matatani mainjinia wa Shirika la Umeme…

OFM Yaibua Majumba ya Kigogo TRA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. HAPA Kazi Tu! Wakati kasi ya Rais Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ (pichani) kutumbua majipu ikishika kasi, hasa kwa vigogo wanaodaiwa kuiingizia hasara ya mabilioni ya shilingi serikali, kikosi maalum cha…