The House of Favourite Newspapers

Petitman: Nipo na Maskini Mwenzangu

MENEJA wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamad Manungwi almaarufu Petitman amefunguka kuwa, kwa sasa hana msongo wowote, wala kufikiria chochote kutoka kwa mzazi mwenzake wa hivi sasa aitwaye Dodo kwa sababu wote ni maskini na wanameridhika na…

Petitman Achumbia Leba

Meneja wa msanii Young Lunya Petitman Wakuache amem-surprise mama wa mtoto wake Official Dodo baada ya kumvalisha pete ya uchumba katika chumba cha kujifungulia wajawazito leba. Petitman Wakuache amepost video akimvalisha…

Esma, Petit Man Majanga Tena!

DADA wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan na mzazi mwenzie Hamad Manungwi ‘Petitman Wakuache’ wameingia kwenye majanga tena baada ya kudaiwa kuwa wamemwagana kwa mara ya nne, RISASI limenasa…

Esma, Petit Gari Limewaka

GARI limeweka! Ndiyo sentensi inayotumika kwa watalaka, Esma Khan na Hamad Manungwi ‘Petit Man’. Hii ni kufuatia penzi lao kusemekana limerejea kwa kasi ya kimbunga huku wakidaiwa kupika na kupakua kama zamani. Esma ambaye…

Petit atoa somo la mahusiano

MENEJA wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Ahmed Manungwa ‘Petit Man’ amesema kwamba haoni kama kuna umuhimu wa kuyaanika matatizo yake yanayomkuta kwenye mahusiano. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Petit amesema kuanika matatizo ya…

Petit Man: Soon Namzalisha Esma

MENEJA wa wasanii mbalimbali wa muziki, Hamad Manungwi ‘Petit Man’ amefunguka kuwa anatarajia kumzalisha mtoto mwingine mkewe Esma Khan ambaye ni dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Akizungumza na Risasi…

Penzi la Esma, Petit la mwendokasi

WANANZENGO wanasema eti wanandoa walioachana na kisha kurudiana, Esma na Petit safari hii penzi lao limekuwa na kasi kama ya mwendo kasi. “Yaani hii ni hatari, wenzetu utadhani ndiyo wamejuana leo kwa jinsi walivyofufua penzi lao, watu…

Petit, mkewe wamwagana!

KAMA ulikuwa unasikiasikia tu bila kuwa na uhakika, habari ikufikie ni rasmi sasa, meneja wa wasanii, Ahmed Ngahemela ‘Petit Man’ amemwagana na mkewe Maimuna Adam ‘Queen Mai’, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Ubuyu huu ulianza…

Petit naye amnyoosha Esma

WASWAHILI wanakuambia malipo ni hapahapa duniani. Baada ya Esma kutamba sana na mpenzi wake mpya, upande wa pili nao umejibu! Aliyekuwa mume wa mrembo huyo Petit Man naye ameibuka na mrembo ‘mkaree’, ‘full’ kumnyoosha! Huko…

KAREN: BABA NA PETIT MAN POA TU

MWANAMUZIKI anayechipukia kwenye Bongo Fleva, Karen Gardner ‘Malkia Karen’ amesema kuwa baba yake ambaye ni mtangazaji wa Radio Clouds FM, Gardner G Habash hana shida na meneja wa wasanii, Hemed Manungwi Petit Man kwa sababu anajua…

ESMA ATOBOA SIRI ZA PETIT MAN

UKITAJIWA jina la Esma Khan unaweza kusitasita kidogo na kudhani huenda nakutajia majina ya waigizaji kutoka India lakini ukweli ni jina la Kibongo kabisa.  Kwa wafuatiliaji wa muziki wa Bongo Fleva na habari za kidaku bila…

Johari Adaiwa Kuonja Penzi la Petit

MREMBO mkongwe Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedaiwa kuonja penzi la kijana wa mjini, Petit Man ambaye ni mume halali wa dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan. Chanzo makini kilipenyeza…

Linah, Petit Man Live!

AMA kweli mastaa hawaishiwi vimbwanga! Hayo yalidhihirika usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita baada ya staa wa kike wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ kudaiwa kutelekeza mwanaye mchanga na kunaswa akibanjuka na jamaa ambaye ni…