The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Mwanafunzi Aliyepotea Mbeya Apatikana

Mwanafunzi Ester Noah Mwanyiru aliyepotea kwa muda wa siku 20 tangu asubuhi ya tarehe 18 Mei 2023 hatimaye amepatikana ndani ya masaa 24 tangu agizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoka akimwelekeza mkuu wa mkoa wa Iringa, Juma Homera…

Radi Yaua Wanne Mbeya

WATU wanne wamefariki dunia papo hapo na mwingine kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakati wakichimba kaburi katika Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Watu hao walipigwa na radi Jumapili Januari 9, 2022 wakichimba kaburi kwa ajili ya…

Wanachama 17 NHIF Mbeya Mbaroni

Wanachama 17 wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) mkoani Mbeya wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuisababishia Serikali hasara ya Sh 188 milioni. Wanadaiwa kuchukua dawa nyingi kwenye vituo vya afya na kuziuza kwenye…

Vinara wa Wizi Wanaswa Mbeya

KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA MATUKIO YA UVUNJAJI NA WIZIy Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. KELVIN TOBIAS fundi kuchomelea, mkazi wa Iyela na 2. JOSHUA AMBAKISYE mkazi wa Mwanjelwa jijini Mbeya kwa…