Pspf Yawazawadia Wafanyakazi Wake Kwenye Kilele Cha Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Duniani
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, amewapongeza wafanyakazi wa Mfuko huo, kwa kazi nzuri wanayofanya ya kuwatumikia wateja, (wanachama) wa Mfuko.
Bw. Mayingu ameyasema hayo…
WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA 2017: WATEJA NA WANACHAMA WA PSPF WAPATIWA HUDUMA ZA ZIADA
WATEJA wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wanaofika kwenye ofisi za makao makuu jengo la Jubilee Tower jijini Dar es Salaam ili kujipatia huduma katika kipindi hiki cha Wiki ya Huduma Kwa Wateja Duniani,…
VIDEO: PSPF YAFUNGUA OFISI MPYA PEMBA NA UKEREWE, NI SEHEMU YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI
NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID
MFUKO wa Pensheni wa PSPF, umezindua ofisi mpya mbili moja kisiwani Pemba na nyingine kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza.
Akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam…
Waziri Wa Fedha Na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ajiunga Na PSPF
Waziri Dkt. Mpango (kulia), akipokea fomu ya kujiunga na PSS, kutoka wka Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Msanii maarufu, Mrisho Mpoto. Katikati ni Afisa Habari Mwanamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi.
WAZIRI wa Fedha na…
PSPF Wakabidhi Mashuka Kwa Wodi ya Watoto Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar
Maafisa wa Mfuko wa PSPF kulia Faidha Khatau na Hazina Konde wakimkabidhi mashukaka Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dr Ali Salum Ali anayefutia ni Mkurugenzi Utawala na Uendeshaji Dr. Abubakar Khamis Hamadi, hafla hiyo…
PSPF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Ujasiliamali Kilimanjaro
Washiriki wa Semina ya wachama wa PSPF wasitaafu watarajiwa semina hiyo ilifanyika jana katika Mkoa wa Kilima njaro.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Pesheni PSPF, Adam Mayingu, akisoma hotuba ya ukaribisho kwa mageni rasimi Mkuu wa…
Wastaafu PSPF Mwaka 2017/18 ‘Kulamba’ Shilingi Trilioni 1.3 Za Mafao
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, aliongozana na Mkurugenzi wa Uendeshaji Bi. Neema Muro na Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji Bw. Gabriel Silayo, baada ya kufungwa kwa semina kwa wastaafu watarajiwa wa wilaya…
PSPF Yawapiga Msasa Wastaafu Watarajiwa Zaidi Ya 300 Mkoani Mwanza
Meneja Pensheni wa PSPF, Bw. Mohammed Salim, akitoa mada juu ya maandalizi na fursa za wastaafu
Afisa Mwandamizi wa Utafiti wa PSPF, Bw. Mapesi Maagi, akigawa vitendea kazi kwa washiriki wa semina mwanzoni mwa mafunzo hayo
…
PSPF Yakabidhi Vifaa vya Michezo kwa Jeshi la Magereza Ukonga, Dar
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kushoto), akimkabidhi seemu ya vifaa vya michezo, Mkuu wa Kikosi Maalum cha Jeshi la Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Magereza,…
PSPF Yatoa Mafunzo kwa Wananchi Kujiunga na Mfuko na Kuchangia kwa Hiari
Afisa wa Mfuko wa PSPF Tawi la Zanzibar Bi Fadhila akizungumza wakati wa Mkutano Taasisi zisizo rasmin za Wavuvi, Madereva wa gari za mchanga, Kifusi na Wakulima wa mbogamboga kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari ya Mfuko wa PSPF…
PSPF Yapata Wanachama Zaidi Kupitia Mpango Wa PSS
Hili ndilo Banda ambalo Mfuko wa Pensheni wa PSPF walikuwepo kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaunga wanachama wapya katika mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS.
Mkuu wa Kitengo cha usajili…
Wananchi Wazidi Kumiminika Banda a PSPF
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akiyekaa, akimuonyesha Mwanachama huyu wa Mfuko huo michango yake papo kwa hapo kwenye banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, wakati wa maonyesho ya…
Hizi Hapa Huduma za PSPF ndani ya Maonyesho ya Sabasaba
Julita N Mongi, mwanachama mpya wa PSPF kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari, PSS, akionyesha kitambulisho chake cha uanachama alichokabidhiwa dakika 5 tu baada ya kujaza fomu. Huduma hiyo inatolewa kwenye banda la PSPF lililoko jengo…
PSPF Yafanya Majadiliano na Wanachama Wake Mkoani Manyara
Mwakilishi wa Katibu Tawalawa mkoa wa Manyara Bw.Longino Kazimoto (katikati), akifungua kikao cha pamoja kati ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, na wanachama wake wa mkoa wa Manyara. Mkutano huo ambao uliandaliwa na PSPF katika utaratibu…
PSPF Yasifiwa kwa Ubunifu wa Bidhaa Mpya
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Bi. Mariam Mtunguja, akifungua rasmi mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika Jijini Mbeya hivi karibuni.
Afisa Mwandamizi wa PSPF, Bw. Msafiri Mugaka, akisoma hotuba ya makaribisho kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu…
PSPF Yatoa Elimu kwa Wastaafu Zanzibar
Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa PSPF kwa Kutoa Elimu ya Kujiunga…
PSPF Yazidi Kujitanua Hadi Vyuo Vikuu
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Msanii wa majigambo, Mrisho Mpoto, akitoa elimu juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSS, na umuhimu wa wanafunzi wa UDSM kujiunga na Mfuko huo kupitia Mpango wa uchangiaji wa…
PSPF Yatoa Msaada wa Vitanda, Magodoro na Mashuka Hospitali ya Temeke
Mbunge wa viti Maalum, Angella Kairuki, (wapili kulia), akipokea msaada wa vitanda, kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, kwenye hosptali ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Desemba 7, 2015.…
PSPF wapeleka huduma mpya ya Bima ya Afya Majira, Mwananchi
Mkurugenzi wa Mipango naUwekezajiwa PSPF, Bw. Gabriel Silayo (wanne kushoto) akisisitiza jambo katika kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wakuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF na Business Times. Menejimenti ya PSPF ipo katika ziara ya…
PSPF wapeleka huduma mpya ya Bima ya Afya Majira, Mwananchi
Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa PSPF, Bw. Gabriel Silayo (wa nne kushoto) akisisitiza jambo katika kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wakuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF na Business Times. Menejimenti ya PSPF ipo katika ziara ya…
PSPF wazindua mpango wa matibabu kwa wanachama wa mfuko huo
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (atikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meenja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa…
PSPF Yavuna Wanachama VOWET
Meneja wa Mfuko wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS), wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwanjaa Sembe, (aliyesimama), akiwaongoza wanachama wapya waliojiunga na mpango huo, wakati wa warsha ya siku moja iliyowakutanisha maafisa na mabalozi wa…
Mawakala wa forodha Tanzania wajiunga na PSPF
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florence Turuka, akihutubia wanachama wa chama cha mawakala wa forodha Tanzania (TAFFA), mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa TAFA kwenye ukumbi wa Karimjee.
Meneja…
Nafasi za Kazi 6 Dar es salaam City Council (DCC) 2021
Dar es Salaam (Dar) (from Arabic: دار السلام Dār as-Salām, "the house of peace"; formerly Mzizima) is the former capital as well as the most populous city in Tanzania and a regionally important economic centre. Located on the Swahili…
Fahamu Majengo 10 Marefu Zaidi Barani Afrika 2020
HISTORIA ya majengo marefu zaidi barani Afrika ilianza mwaka 1973 kufuatia ujenzi wa jumba refu la Carlton Centers mjini Johannesburg , ambalo lilishikilia taji la jumba refu barani Afrika hadi mwezi Aprili 2019 kulingana na…
Two Independent Board Directors at Mwalimu Commercial Bank
2 Independent Board Directors
INTRODUCTION
Mwalimu Commercial Bank PLC (MCB) is a limited liability company established under the Companies Act (Cap 212 R. E. 2002) and licensed to carry Banking business under the provision of the…
PSSSF Yaanika Mikakati Kuwalipa Wastaafu
Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori kwa ajili ya kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Huduma zitolewazo na Mfuko huo.
Akizungumza na +255…
Wizara ya Fedha Yaomba Bajeti ya Tsh Trilioni 11.94
UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, sasa Bunge lako lipokee na kujadili mapitio ya…
NAFASI ZA KAZI TANO KUTOKA TASAF DODOMA, MWISHO MACHI 29
The United Republic of Tanzania
President’s Office
TANZANIA SOCIAL ACTION FUND VACANT POSITIONS
The United Republic of Tanzania is implementing the Productive Social Safety Net Program (PSSN) in the Third Phase of the Tanzania Social…
KIKOKOTOO CHA WASTAAFU SIASA ILIINGIA!
NCHI ilikuwa katika mjadala mkubwa juu ya suala la kanuni za mafao yatokanayo na mifuko ya hifadhi ya jamii kwa wastaafu, kanuni zilizotolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kabla ya Rais John Pombe Magufuli…
Mfuko wa Pensheni Wa PSSSF Waanza Rasmi Leo
Tarehe 31 Januari, 2018 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Sheria hiyo pamoja na mambo mengine inaunganisha Mifuko ya Pensheni minne…
MAGUFULI AZINDUA OFISI KUU NA MATAWI YA NMB DODOMA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi na matawi mawili ya Benki ya NMB Tanzania ambayo imepewa jina la Baba wa Taifa, NMB Kambarage lililopo jengo jipya la PSPF Dodoma Plaza Mkoani Dodoma. …
Rais Magufuli Azindua Tawi la NMB – VIDEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amezindua Jengo la PSPF la ghorofa 11 na tawi la benki ya NMB(NMB Kambarage)
Ujenzi wa jengo hilo lililosanifiwa na kujengwa na Watanzania umegharimu kiasi cha fedha cha Tsh.…
Naibu Waziri Jafo Ahimiza Waajiri Kuwasilisha Michango Ya Wanachama Kwa Wakati
NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi, Mhe. Selemani Jafo amejiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF kupitia Mpango wa uchangiaji wa Hiari, (PSSF) na kuhimiza na kjtoa wito kwa waajiri wote nchini kuwasilisha michango ya…
Ecobank Yaingia Makubaliano Na Ticts
Dar es Salaam. Benki ya Ecobank Tanzania leo imeingia katika ushirikiano rasmi na TICTS, ambapo wateja wa kampuni hiyo wataweza kufanya malipo yao kwa haraka na ufanisi zaidi kupitia tawi lolote la Ecobank.
Benki hii…