The House of Favourite Newspapers

Shilole Afunga Ndoa na Rommy

Msanii Shilole amefunga ndoa na mchumba wake Rommy, Shilole amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram na hii inakuwa ndoa yake ya pili rasmi baada ya ile ya kwanza aliyofunga na Uchebe kisha baadae kuachana. “Namshukuru Mungu,…

MAMA ROMMY APEWA TALAKA POLISI

DAR ES SALAAM: MAMA yake DJ Rommy Jones, Shani Swedy anadaiwa kuzua kasheshe la aina yake alipokuwa akidai talaka yake hivyo suala hilo kutinga na kumalizikia Polisi, Gazeti la Ijumaa limenasa ubuyu mwanzo mwisho. TUJIUNGE…

Tanasha Anukia Wasafi

MWANAMAMA kutoka nchi jirani ya Kenya, Tanasha Donna Oketch amesikika vizuri kunako muziki wa kizazi kipya. Katika miaka yake miwili kwenye muziki, ameweka rekodi mbalimbali. Jina la Tanasha lilikua kubwa baada ya kuwa kwenye…

Esma Ampinga Mama Mondi

MAMBO ni mengi muda ni mchache! Sekeseke aliloliamsha Mama Dangote, Sanura Kassim ‘Sandra’ limechukua sura mpya baada ya dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan kumpinga mama huyo, IJUMAA WIKIENDA lina habari mpya. …

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake jipya na Rommy3D. Shilole ambaye ametwaa Tuzo ya Mjasiriamali Bora wa Kike wa Mwaka Kidijitali kwenye…

Ni Vita ya Funga Mwaka

MUZIKI mzuri hutengenezwa na ubunifu ambao unafanywa na wasanii kwa kufanya kazi nzuri. Kazi ambayo inaweza kuishi miaka mingi na kusikilizwa au kutazamwa na vizazi vingi vya baadaye. Baada ya Dunia na mataifa mengi kukumbwa na janga la…

Ndoa ya Shilole Barazani

MPIGA picha maarufu wa mastaa mbalimbali Issa Juma ‘ Rommy 3D’ ambaye kwa sasa ndio mpiga picha binafsi wa mjasiriamali na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’, amesema mwisho wa mwaka huu kitaeleweka kuhusu suala la yeye na…

Shilole: Nina Ujauzito

USIKU wa jana katika hafla ya mama-kijacho, Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na mjasirimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni mama-kijacho mtarajiwa. Alisema maneno hayo alipokuwa akiongea na wageni waalikwa katika shughuli hiyo…

Shilole, Uchebe Hapatoshi

BAADA ya penzi lao kufi kia ukingoni kwa maneno mengi, mwanamama anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na aliyekuwa mumewe wa ndoa, Ashraf Uchebe, hali ni tete kiasi kwamba, sasa hapatoshi mjini. Kila…

Ni Mwendo wa Rekodi!

MAISHA yanakwenda kasi sana! Ukirudi nyuma miaka 15 katika soko la Bongo Fleva, wasanii wengi walikuwa wakitegemea kuuza kazi zao kwenye ‘cassette’, tena hapo kama siyo msambazaji Mamu Store, basi Mwananchi Store. Hakukuwa na…

Mama D nyodo 100%

ANATAAAMBA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Mama D’ kuonekana akijiachia kwa nyodo asilimia mia na mumewe, Maisara Shamte ‘Anko’.  Tukio hilo lilitokea usiku…

ZARI AIBLOKI FAMILIA YA DIAMOND

DAR ES SALAAM: “Nikanyage bahati mbaya, nikulipue makusudi!” Mstari huo wa Wimbo wa Ni Hayo wa Rapa Fareed Kubanda ‘Fid Q’ unaakisi kitendo anachodaiwa kukifanya mwanamama wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa kuwakatia…