The House of Favourite Newspapers

Said wa Scorpion Kufikishwa Kortini

SAKATA la Said Mrisho aliyedaiwa kutobolewa macho na Salum Njwete ‘Scorpion’ na mkewe Stara Sudy, linatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya kushindwa kuelewana ngazi ya Ustawi wa Jamii. Said na mkewe waliingia kwenye bifu zito siku…

Mrisho Ngassa Ajifua Na Pamba

ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa timu ya Yanga ambaye kwa sasa anakipiga Mbeya City, Mrisho Ngassa, ameonekana akifanya mazoezi ya kujiweka fiti kuelekea ligi kuu msimu ujao akiwa na Pamba FC. Ngassa ambaye ni kati ya…