The House of Favourite Newspapers

Sajenti aumbuka

Gladness Mallya na Hamida Hassan KABANG! Baada ya kukataa kwa kipindi kirefu kuwa hajazaa, msanii asiyekuwa na bahati ya kutoka kisanaa, Husna Idd ‘Sajent’ hatimaye juzikati alinaswa live akiwa na mtoto wake wakati akimfanyia maulidi,…

Gabo Amtolea Mtu Uvivu

BAADA ya tetesi nyingi kusambaa mitandaoni kuwa staa wa filamu za Kibongo, Salim Ahmed almaarufu Gabo amemtelekeza mtoto aliyewahi kuzaa na msanii mwenzake, Husna Sajenti hatimaye amemtolea mtu uvivu. Gabo anasema kuwa,…

Mbowe na Wenzake Washinda Pingamizi

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Jumatatu Januari 10, 2022 imekubali pingamizi la kutopokea sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kama moja ya kielelezo lililowekwa na upande wa utetezi…

Polisi Wapya 3,000 Kuajiriwa

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeajiri askari polisi wapya zaidi ya 3,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa jana Alhamisi tarehe 12, Agosti 2021 na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro akifunga…

Kikongwe wa Miaka 77 Afia Kisimani

MZEE mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha, baada ya kutumbukia katika kisima cha maji, kilichochimbwa katika eneo la Kanisa Katoliki Parokia ya Maruku,…

Bao la Banka Laua Askari

INAELEZWA bao la kusawazisha la kiungo wa Yanga, Mohammed Issa ‘Mo Banka’, limepelekea kifo cha shabiki wa timu hiyo sajenti Omari Minguya wa Jeshi la Magereza Kitengo cha Redio jijini Dar. Askari huyo ambaye inadaiwa kuwa…

Mastaa kumwangushia Johari pati…

WATU wajipange kukuandalia pati ya kukupongeza kwa kukaa mwezi mmoja bila kunywa pombe; maana yake nini, kama wewe si ‘chapombe’? Risasi Jumamosi linatafakari hivyo baada ya baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuibuka na kumpongeza msanii…