The House of Favourite Newspapers
Tags:

Malaika Amfungukia Pam D

MKALI wa ngoma za Saresare pamoja na Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ amefunguka kuwa  mashabiki wa muziki wamekuwa wakimfananisha staili yake ya uimbaji na mwanamuziki mwenzake Pamela Daffa ‘Pam D’ kutokana na wote kufanya kazi…

Mpoto Asikitishwa na Wanamuziki

Na Boniphace Ngumije | UWAZI | SHOW BIZ MWANAMUZIKI anayefanya vizuri katika gemu la Muziki wa Asili nchini, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ ameonyesha kusikitishwa na wanamuziki wenzake wanaofanya muziki wa aina hiyo kwa kukosa ubunifu,…

Jahazi Kulisimamisha Jiji

NA MWANDISHI WETU | SHOW BIZ Bendi ya Jahazi Modern Taarab ikiongozwa na mastaa wake, Leila Rashid, Amigo, Mwasiti Kitolonto, Ally J, Fatuma Kassim na wengine kibao imepania kulisimamisha Jiji la Dar katika onesho kabambe…

Madai ya Kupotezwa, Dimpoz Afunguka

Na BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA IJUMAA|IJUMAA SHOW BIZ MWANAMUZIKI Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ametoa povu kufuatia madai kuwa, hivi sasa  kapotezwa na vijana wadogo wanaolazimisha ‘kuvaa viatu vyake’. Akipiga stori na Showbiz,…

Q Chillah Kumwanika Mpenzi Wake

  Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MSANII wa Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’  anayetamba na Wimbo wa Koku na Sungura, Aprili 30, mwaka huu amejipanga kumtambulisha rasmi mpenzi wake anayefahamika kwa jina…

Mb Doggy Awachana Kina Diamond, Kiba

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA UWAZI| SHOW BIZ MSANII mkongwe kwenye Bongo Fleva, aliyewahi kutamba na ngoma za Latifa, Si ulinambia, Mapenzi Kitu Gani na nyingine nyingi, Mbwana Ali ‘Mb Dogg’ amesema ujio wake mpya anaojiandaa…

Nyoshi Alilia Kupiga Shoo Dar Live

Na ISSA MNALLY| GAZETI LA UWAZI| UWAZI SHOW BIZ RAIS wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma‘,  Nyoshi El Saadat ameibuka na kusema kuwa miongoni mwa vitu anavyotamani na kulilia kwa sasa ni kupiga shoo kwenye…

Kisa Wivu Snura Awatosa Wasanii

Na ALLY KATALAMBULA|GAZETI LA UWAZI|SHOW BIZ MWANADADA mwenye umbo matata anayesumbua kunako Tasnia ya Muziki Bongo na Filamu, Snura Mushi ‘Snura’ amesema kuwa yeye ni mwanamke mwenye wivu sana jambo ambalo limemsababisha mpaka…

Harmonize Ampa Saluti Korede Bello

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| SHOW BIZ MSANII wa Bongo Fleva anayetikisa na vibao vingi ikiwemo Matatizo na Bado, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ amemfungukia msanii kutoka Nigeria, Korede Bello kuwa amemfunza mengi alipokutana naye.…

Msami Afungukia Mapenzi na Chemical

 BONIPHACE NGUMIJE| GAZETI LA UWAZI| SHOW BIZ MWANAMUZIKI aliyefahamika zaidi Bongo kupitia wimbo wake wa Mabawa, Msami Baby hivi karibuni amefunguka jinsi anavyomkubali msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Chemical jambo lililosababisha…

Sabby: Ni Urembo Sarakasi na Muziki

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| SHOW BIZ HAKUNA kitu kizuri katika sanaa kama kubahatika kuwa na vipaji vingi ambavyo vinaweza kukuingizia chakula cha siku. Wapo wasanii wa Bongo Fleva wenye vipaji vya kuogelea, kucheza filamu,…

Queen Darleen Amfungukia Ali Kiba

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa hajawahi kumkosa (kummisi) staa mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba ambaye kitambo alikuwa…

Wanajisahau, Wanapotea Kimyakimya

Na ANDREW CARLOS| GAZETI LA IJUMAA| IJUMAA SHOW BIZ YAPO makundi mengi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo yaliibuka na kupotea kimyakimya lakini pia wapo wakali wa muziki huo walioibuka na kujisahau na wengine kupotea kabisa.…

Duma: Bongo Movi Inatia Kinyaa

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA MSANII wa filamu aliyewahi kutamba na tamthiliya ya Siri ya Mtungi ‘Duma’ amesema kwa sasa hali ya sanaa ya maigizo nchini inatia kinyaa kutokana na baadhi ya wadau wa filamu…

Madee: Sijaishiwa Ubunifu

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ XTRA Rapa asiyechuja kwenye sayari ya muziki wa Bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya ‘Helaa’ Hamadi Ally ‘Madee’ amesema kitendo cha kutoa wimbo wenye maudhui yanayo…