The House of Favourite Newspapers

Madee: Sina Papara Kabisa

HAMAD Ally au Madee, Rais wa Manzese Music; ni muda sasa umepita tangu aachie ngoma yake ya Hadithi ambapo hatimaye anafunguka sababu iliyomfanya akae kimya kwa muda wote huo bila kuachia ngoma nyingine huku akiwa hana papara kabisa.…

Mr Blue: Hatukuwaza Kupiga Pesa

MR BLUE a.k.a Byser au Babylon Bizz; ni rapa bora wa wakati wote nchini Tanzania ambaye anasem  Eenzi hizo wakati wanaanza kufanya muziki hawakuwaza kufanya hivyo kwa ajili ya kupiga pesa tofauti na ilivyo sasa. Byser;…

Muu Flow Awatisha Mastaa

KINDA anayekuja kwa kasi kunako anga la muziki wa kufokafoka (Hip Hop), Muu Flow ni mdogo wa umri, lakini mkubwa wa maarifa kwani amewatisha baadhi ya wasanii kutokana na mambo anayoyafanya kwenye muziki wake. Akizungumza…

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi hasidi wa moyo wangu… Haya mapenzi basi nimeyavulia shati… Kupendwa ni…

Mambo Makubwa ya Kukumbukwa 2021

HATIMAYE mwaka 2021 unakaribia ukingoni; bado takriban siku 20 tu, lakini kuna mengi yamejiri katika safari hiyo yenye milima na mabonde. Yapo ya kufurahisha na yapo ya kuhuzunisha. Kupitia IJUMAA SHOWBIZ, kuelekea kuufunga mwaka…

Mkubwa Fella: Siyo Kama Hatuwaoni

MENEJA wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul almaarufu Diamond Platnumz. Said Fella Mkubwa Fella anasema kuwa, mara nyingi wao kama viongozi huwa wanawaona baadhi ya watu ambao wanamtukana msanii wao, lakini wanaamua kunyamaza.…

Kingwendu Apimwa Ubavu

MSANII maarufu wa vichekesho Bongo, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ amepimwa ubavu na mchekeshaji kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Bienvinu Prosper almaarufu Jackson baada ya kufanya naye kazi moja inayokwenda kwa jina la…

Gladness Kifaluka Ajipa Umalkia

KOMEDIANI matata wa kike Bongo, Gladness Kifaluka ‘Pili Kitimtim’ anasema kuwa kwa wasanii wa kike wa uchekehaji Bongo, yeye ndiye umalkia kamili. Akistorisha na IJUMAA SHOWBIZ,Galadness anasema hakuna komediani wa kike…