Rais Mstaafu Kikwete Ashinda Tuzo Ya Kiongozi Wa Amani Na Usalama Wa Mwaka 2023 Ya Jarida La Uongozi…
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais William Ruto wa Kenya, na Rais wa zamani wa Liberia George Weah wameibuka Kuwa washindi katika tuzo za 12 Viongozi Bora wa Mwaka wa Jarida la Uongozi wa Kiafrika kwa mwaka wa 2023.
Watatu…