The House of Favourite Newspapers

Bond amwangukia Wastara

Aliyekuwa mchumba wa mwigizaji wa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman. Gladness Mallya Msamaha! Aliyekuwa mchumba wa mwigizaji wa staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman amemwangukia mwandani wake…

Wamepitia Magumu, Wakasimama Tena!

KATIKA maisha kuna vipindi vya furaha na huzuni. Kuna wakati binadamu anapitia maisha magumu mno na kujikuta akijiuliza amemkosea nini Muumba wake licha ya kwamba wakati wa furaha wengi wetu tunasahau kabisa kwamba ipo siku zitakuja nyakati…