Ben Pol Unamdharau Hadi T.I.D?
BENARD Paul, maarufu kama Ben Pol, ni mmoja kati ya vijana wanaofanya vizuri sana katika muziki wa kizazi kipya, upande wa R&B. Eneo hili lina wakali wengi, lakini kama shabiki wa kweli wa muziki atasema atayarishe orodha yake,…