The House of Favourite Newspapers

Tanesco Yaomba Radhi

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma ya umeme muda huu. "Maeneo yaliyoathirika ni Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Sinza,…

Makamba: TANESCO Msikodi Mitambo

Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura kutokana na historia mbaya ya mitambo ya…

Makamba: Hii Ndio Tanesco Mpya

Hii ndiyo Tanesco (Shirika la Umeme la Tanzania) mpya ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kueleza mikakati mbalimbali na mwelekeo mpya wa shirika hilo. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja…

Rais Samia Apitisha Panga Tanesco

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Miradi (PDB), Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme (Tanesco). …