Trump Kumfukuza Mwana Mfalme wa Uingereza, Prince Harry Kuishi Marekani
Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa amedanganya kuhusu utumiaji wake wa dawa za kulevya kwenye fomu ya kuomba viza ya kuishi…