Wanafunzi Waomba Serikali Kupata Miti ya Matunda Mashuleni
Wanafunzi wa shule ya msingi Matwiga iliyokoa Kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali ielekeze nguvu kupanda miti ya matunda mashuleni ili iwasaidie kupata lishe bora.
Ombi hilo limetolewa leo marchi…