The House of Favourite Newspapers
gunners X

Nandy: Sijagombana Na Wema

FAUSTINA Charles au Nandy The African Princes; ni malkia wa muziki Afrika Mashariki akiiwakilisha vyema Tanzania ambaye anasema kuwa, hajawahi kugombana na staa mwenzake Bongo, Wema Sepetu Isaac Sepetu na wala hajawahi kumchukulia bwana…

Wema Amrudia Mungu

STAA mwenye nyota zake Bongo, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote. Wema anasema pamoja na kubadili mfumo wa…