Wema Sepetu: Sipendi Misiba Wala Baby Shower, Najisikia Vibaya, Moyo Wangu Mwepesi –…
Wema Sepetu ambaye ni nyota wa filamu hapa Bongo, ameweka wazi kuwa kamwe hawezi kuacha kumpenda Lola, mpaka mwisho wa maisha yake kwani hana tatizo naye na anapenda tu amuone siku zote ndiyo roho yake inafurahi.