Zuwena Wa Diamond Afichua Alivyomtongoza Juma Lokole – Awavaa Yanga – Video
Zuwena wa Mondi amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa anampenda sana Juma Lokole na yeye kama mwanamke shupavu tayari alishamfikishia ujumbe huo muhusika mwenyewe.