The House of Favourite Newspapers

Zari Ndoa Yanukia

SIYO stori kwamba baby mama wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady yupo kwenye penzi jipya la kijana barobaro aitwaye GK Choppa. Zari na Choppa; wote ni raia wa nchini Uganda wenye maskani…

Zari: Wenye Wivu Wajinyonge

PAMOJA na kukanusha mara kadhaa akisema wao ni marafiki tu, hatimaye mwanamama Zari The Boss Lady amechoka kufichaficha kwani penzi ni kikohozi na kulificha huwezi! Hatimaye Zari ameamua kujilipua waziwazi kuwa mwanaume ambaye…

Zari Athibitisha ni Mke Bora

MWANAMAMA mwenye pesa zake ambaye pia ni baby mama wa msanii Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ame thibitisha kuwa ni mke bora (wife material) baada ya kuonekana kwenye video akim hudumia jamaa anaye semekana ni mpenzi wake mpya kwa…

Zari Ashindwa Kumzima Zuchu

BABY mama wa msanii mkubwa nchini Tanzania, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz, mwanamama ZarinahHassan ‘Zari The Boss Lady’, anadaiwa kushindwa kuhimili kishindo cha tetesi za jamaa huyo kutoka kimapenzi na msanii wake, Zuhura Othman…

Zari Sikurithi Chochote Kwa Marehemu Mume Wangu

Mwanamama Zarina Hassan maarufu kama Zari the bosslady amefunguka kuwa hakuwahi kurithi chochote kutoka kwa marehemu mumewe Ivan Ssemwanga aliyefariki mwaka 2017 na kuongeza kuwa walichokuwa nacho wote wawili walikifanyia kazi. Zari…

Mondi Amvimbisha Kichwa Zari

AMKENI…amkeni…! Unaambiwa huko nchini Afrika Kusini kumenoga kufuatia mahaba mazito ambayo yapo fulu chaji kati ya Msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na mzazi mwenzie, Zarina Hassan ‘Zari the boss lady’. Miongoni mwa…

Zari, Mondi Wajifungia Bafuni

WAHENGA walipata kusema; ‘wagombanapo wapenzi, shika jembe ukalime!’ Ndicho anachosisitiza mmoja wa mameneja wa staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz, Sallam Sharif maarufu kama Sallam SK. Hayo yalijiri baada…

Zari Ammisi Diamond Platnumz

BAADA ya kuachana na bwana’ke mwingine aliyepewa jina la Dark Stallion (Farasi Mweusi), baby mama wa staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul au Diamond Platnumz, Zarinah Hassan au Zari The Boss Lady amesababisha sintofahamu, IJUMAA…

Zari Ampiga Kibuti King Bae

KIMEUMANA, ndivyo unavyoweza kutafsiri kile alichofanya Mzazi mwenza wa staa wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama ‘Zari the boss lady’ baada ya kufuta picha zote alizopiga pamoja na mpenzi wake ambaye ni…

Diamond, Zari Motomoto

KILA moto wa penzi la Diamond na Zari unapotaka kuzima, ni kama kuna mtu anauwekea mafuta na mambo yanakuwa fayafaya. Stori mpya kwa wawili hao ambao wamefanikiwa kuzaa watoto wawili ni kwamba, mtandao wa Netfflix…

Mrembo wa Mondi amtisha Zari

UBUYU wa ndani kabisa unadai kwamba, baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alifikia hatua ya kusitisha uwepo wake Bongo, muda mfupi baada ya kusambaa kwa tetesi za jamaa…