MOBILE: +255 0715288627, E-mail: [email protected]

Makamu Wa Rais Kuongoza Upandaji Miti Kesho dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Saalam Paul Makonda. MAKAMU wa Rais, Samia Hassan Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katikauzinduzi wa Kampeni ya Upandaji Miti Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo, mkuu wa mkoa huo, Paul Makonda amesema kila mwananchi wa Dar anapaswa kupanda mti mmoja kwa ajili […]

Read More

Kitaifa

Sholo Mwamba: Man Fongo kabweteka mapema sana!

Sholo Mwamba akiimba ndani ya studio za Global TV.Sholo Mwamba akifurahia jambo na waandishi wa habari hawapo pichani.Sholo Mwamba akiwa katika pozi kabla ya kuanza kwa mahojiano.Sholo Mwamba katika pozi na Mhariri Mkuu wa gazeti la Ijumaa Wikienda.Sholo Mwamba akiwa na mwandishi wa Global Publishers, Andrew Carlos. MKALI wa Muziki wa Singeli ambaye alisikika katika […]

DC Kiswaga Anyeshewa Na Mvua Akizindua Msimu Mpya Wa Kilimo

Mkuu wa wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu akiongea na wananchi wa kata ya Nkololo wilayani humo, wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo wilayani humo 2016/17.Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu Festo Kiswaga (Kulia) akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa msimu wa kilimo wilayani humo 2016/17, (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya hiyo […]

Pato la Taifa laongezeka asilimia 6.7

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Beno Ndulu (kushoto) akizungumza na wanahabari. Pembeni yake ni viongozi wa Benki Kuu. BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) leo imesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa umeongezeka na kufikia asilimia 6.7 ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 5.7 kwa nusu ya kwanza ya mwaka 2015 kipindi kama hiki. […]

Waziri Mkuu Majaliwa Kuhamia Dodoma Leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anahamia mjini Dodoma leo ikiwa ni sehemu ya kutekeleza ahadi ya Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Dodoma ambako ndiko yaliko makao makuu ya nchi. Julai 25 mwaka huu, katika kilele cha siku ya mashujaa kilichofanyika mkoani hapa, Waziri Mkuu Majaliwa alisema ifikapo Septemba mwaka huu, […]