NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika jijini Arusha
Ubunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na uwekezaji wenye tija inaoufanya kuwahudumia wateja kwa ufanisi vimekuwa kivutio kikubwa kwenye mkutano wa wakaguzi wa ndani wa Afrika unaofikia tamati leo jijini Arusha.
Wafanyakazi…