A-Z Shoo ya Jide Mlimani City
Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar usiku wa kuamkia leo.
Jide akizidi kukamua
Burudani mwanzo mwishoWema Sepetu na mashabiki wengine wakifuatilia shoo hiyo.Selebuka selebuka. Wema na Ali Kiba Jide na Rama Dee wakiimba pamoja jukwaani.
Kutoka kushoto ni Idris Sultan, Wema Sepetu na Ali KibaShabiki katika pozi
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’
Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee usiku huu amefunika vilivyo katika shoo yake ya Nasimama Tena iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City.
Staa huyo akiwa na vijana wake wamepiga shoo kali ya Live iliyochukua saa tatu na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki walioshindwa kujizuia kukaa kwenye viti vyao na kunyanyuka mara kwa mara kwenda stejini kucheza nyimbo mbalimbali za malkia huyo.
Shoo hiyo imehudhuriwa na mastaa kibao wa Bongo Fleva na Bongo Movies wakiwemo Alikiba, Idrisa Sultan, Wema Sepetu, Elizabeth Michael na wengineo kibao.
Usikose kuangalia Global TV Online kuona video za matukio yote yaliyojiri.
Picha: Clarence Mulisa, Gabriel Ng’osha na Rishard Bukos / GPL
KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP
*********
JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU
KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA
INSTAGRAM: @Globalpublishers
ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo
TWITTER: @GlobalHabari
FACEBOOK: @GlobalPublishers
SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online
GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com
HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz