A$AP Rocky Kupandishwa Tena Kizimbani Leo, Kuhukumiwa

Image result for a$ap rocky

BAADA ya kuachiwa huru siku kadhaa zilizopitia huko nchini Sweden, rapa Mmarekani,  A$AP Rocky, leo jioni atapandishwa tena kizimbani ili kusomewa shitaka lake la kumpiga shabiki.

Mtandao wa Billboard umeripoti kuwa rapa huyo anatakiwa kufika mahakamani mjini Stockhom leo jioni ili kusikiliza uamuzi wa mahakama.

Mnamo Juni 3, mwaka huu, Rocky alikamatwa na maofisa wa usalama nchini Sweden kwa kosa la kumshambulia na kumjeruhi shabiki mmoja kwenye mitaa ya Stockholm.


Loading...

Toa comment