The House of Favourite Newspapers

Abiria Wajeruhiwa Katika Ajali ya Daladala Dar

0

AJALI DAR (1) AJALI DAR (2) AJALI DAR (3) AJALI DAR (4)
Pichani juu ni taswira za ajali hiyo.

Watu kadhaa wamejeruhiwa leo mchana katika ajali ya daladala lililopinduka wakati likijaribu kumkwepa mwendesha baiskeli eneo la Jeti jirani na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

(Picha na Global WhatsApp 0753 715 779, kama una tukio lolote tutumie kupitia namba hiyo)

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply