The House of Favourite Newspapers

Abiria Waliokwama kwa Treni Morogoro Wapata Usafiri

0

MORORGORO: Abiria wapatao 802 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam kwenda Bara kukwama Lukobe, Morogoro wamefanikiwa kusafirishwa kwa mabasi 36 hadi Dodoma ambapo watapanda treni nyingine na kuendelea na safari yao.

Taarifa zimeeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha mabehewa saba ambapo manne yakiwa yameegama na matatu yameacha reli.

Wakati ajali hiyo ikitokea,  treni nyingine ilikuwa ikitoka Bara kuelekea Dar es Salaam ambayo imelazimika kusimama na ndiyo itakaowabeba hao abiria 802 na kuwapeleka Bara huku abiria waliotoka Bara kwa treni hiyo watabebwa tena na mabasi hayo 36 kuwapeleka Dar es Salaam.

Taarifa ya Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi kupitia ukursa wake wa Twitter wameandika;

Leave A Reply