Absa Yashinda Tuzo ya Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa Zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika

Benki ya Absa imeshinda Tuzo ya Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika katika hafla ya utoaji wa tuzo za Chaguo la Walaji Afrika 2025, jijini Dar es Salaam jana.




