ACT Yajibu Kuhusu Kuwa CCM B, Ushindi Wa Lissu Ni Ngumu – Video

Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kiliundwa kutokana na minyukano iliyotokea kwenye vyama vingine vya siasa na kukifanya kiwe kimbilio la walioathirika na mifumo isiyofaa ya vyama vingine.